MwanzoAKAM • NASDAQ
add
Teknolojia ya Akamai
Bei iliyotangulia
$ 93.36
Bei za siku
$ 88.82 - $ 92.64
Bei za mwaka
$ 84.71 - $ 129.17
Thamani ya kampuni katika soko
13.36B USD
Wastani wa hisa zilizouzwa
1.55M
Uwiano wa bei na mapato
26.34
Mgao wa faida
-
Ubadilishanaji wa msingi
NASDAQ
Kwenye habari
Fedha
Taarifa ya Mapato
Mapato
Mapato halisi
(USD) | Sep 2024info | Mabadiliko Tangu Mwaka Uliopita |
---|---|---|
Mapato | 1.00B | 4.06% |
Matumizi ya uendeshaji wa biashara | 438.19M | 9.22% |
Mapato halisi | 57.91M | -63.93% |
Kiwango cha faida halisi | 5.76 | -65.36% |
Mapato kwa kila hisa | 1.59 | -2.45% |
EBITDA | 281.35M | -1.35% |
Asilimia ya kodi ya mapato | 21.54% | — |
Taarifa ya Hali ya Kifedha
Jumla ya mali
Jumla ya dhima
(USD) | Sep 2024info | Mabadiliko Tangu Mwaka Uliopita |
---|---|---|
Uwekezaji wa pesa taslimu na vipindi vifupi | 1.70B | 80.91% |
Jumla ya mali | 10.19B | 6.35% |
Jumla ya dhima | 5.40B | 2.63% |
Jumla ya hisa | 4.79B | — |
hisa zilizosalia | 150.23M | — |
Uwiano wa bei na thamani | 2.93 | — |
Faida inayotokana na mali | 3.89% | — |
Faida inayotokana mtaji | 4.19% | — |
Mtiririko wa pesa
Mabadiliko halisi ya pesa taslimu
(USD) | Sep 2024info | Mabadiliko Tangu Mwaka Uliopita |
---|---|---|
Mapato halisi | 57.91M | -63.93% |
Pesa kutokana na shughuli | 392.54M | 9.21% |
Pesa kutokana na uwekezaji | -116.23M | 90.02% |
Pesa kutokana na ufadhili | -162.37M | -116.66% |
Mabadiliko halisi ya pesa taslimu | 123.44M | -24.22% |
Mtiririko huru wa pesa | 215.18M | 107.20% |
Kuhusu
Akamai Technologies ni kampuni ya Marekani inayojihusisha na utoaji huduma ya mtandao hivi kwamba unapotembelea wavuti fulani, waweza kufikia faili unazotaka kwa urahisi zaidi kana kwamba seva ya wavuti hiyo iko karibu na ulipo. Teknolojia hii huitwa content delivery network. Kampuni hii ina makao makuu huko Cambridge, Mashachuttes, Marekani.
Akamai Technologies ni miongoni mwa kampuni kubwa zaidi ulimwenguni kwa kupeana huduma ya mtandao kwa kutumia program ya Akamai netsession client interface iliyoko kwa tarakilishi ya mteja. Hii kampuni imehusishwa na asilimia kati ya 15 hadi 30 ya data ipatikanayo kwa mtandao.
Mbali na hayo, Akamai Technologies ina seva kwote ulimwenguni ambapo zinginezo zimekodishwa kwa wateja wanaotaka tovuti zao zifanye kazi haraka na kwa wepesi. Unapoingia katika tovuti ya Akamai Technologies, kivinjari chako kitabadislihwa na utaelekezwa kwa moja kati ya tovuti ya hii kampuni
Akamai Technologies ilianzishwa mnamo mwaka wa 1998 na Daniel M. Lewin wakiwa pamoja na Tom Lieghton ingawapo Tom Leighton aliuawa katika shambulizi lililotukia mnamo Septemba 11 mwaka wa 2001.Leighton kwa wakati huu ndiye Mkurugenzi Mtendaji. Wikipedia
Afisa Mkuu Mtendaji (CEO)
Ilianzishwa
1998
Makao Makuu
Tovuti
Wafanyakazi
10,250