MwanzoHKD / JPY • Sarafu
add
HKD / JPY
Bei iliyotangulia
18.42
Habari za soko
Kuhusu Dola ya Hong Kong
Dola ya Hong Kong ni sarafu rasmi ya Hong Kong. Ni moja ya sarafu zinazouzwa zaidi duniani na ina nafasi muhimu katika masuala ya fedha za kimataifa. Mamlaka ya Fedha ya Hong Kong inasimamia utoaji wa sarafu hii, lakini tofauti na mataifa mengi, noti za Hong Kong hutolewa na benki tatu kuu za biashara. Sarafu hii imefungwa kwa dola ya Marekani tangu 1983, na kuifanya kuwa moja ya sarafu thabiti zaidi barani Asia. WikipediaKuhusu Yen ya Japani
Yen ni pesa nchini Japani. Alama yake ya kimataifa ni ¥ lakini Japani penyewe huandikwa 円. Yen imekuwa pesa inayotumiwa sana duniani baada ya dolar na euro.
Pesa hii ilianzishwa mwaka 1871 na serikali ya Meiji ikifuata mifano ya pesa za Ulaya. Mwanzoni ililinganishwa na gramu 1.5 za dhahabu.
Thamani ya pesa ilishuka wakati wa Vita Kuu ya Pili ya Dunia na baada ya vita kiwango chake kwa dollar ya Marekani kiliweka kwa ¥360 kwa US$1. Mwaka 2008 ilikuwa ¥104 kwa US$1.
Tangu kuimarika kwa uchumi wa Japani Yen imekuwa pesa muhimu duniani.
Kuna noti za Yen 1,000, 2,000, 5,000 na 10,000. Wikipedia