MwanzoVND / USD • Sarafu
add
VND / USD
Bei iliyotangulia
0.000038
Habari za soko
Kuhusu Dong ya Vietnam
The dong is the currency of Vietnam, in use since 3 May 1978. It is issued by the State Bank of Vietnam. The dong was also the currency of the predecessor states of North Vietnam and South Vietnam, having replaced the previously used French Indochinese piastre.
Formerly, it was subdivided into 10 hao, which were further subdivided into 10 xu, neither of which are now used due to inflation. The Vietnamese dong has increasingly moved towards exclusively using banknotes, with lower denominations printed on paper and denominations over 10,000 dong, worth about 40¢ dollar or euro, printed on polymer. As of 2022, no coins are used. Generally, Vietnam is moving towards digital payments. The 500,000-dong note is the highest-denomination banknote in circulation in Vietnam. The note is dark blue in color and has been in circulation since 2003.
As of August 2024, the Vietnamese dong is the third-lowest valued currency unit, with one United States dollar equaling 25,135 dong. WikipediaKuhusu Dola ya Marekani
Dola ya Marekani ni sarafu rasmi ya Marekani, iliyoanzishwa mwaka 1792 na kutolewa na Hifadhi ya Shirikisho. Ni sarafu kuu ya akiba duniani, inayotumika sana katika biashara ya kimataifa, bidhaa, na masoko ya fedha za kigeni. Mbali na Marekani, nchi kama Ecuador, El Salvador, na Zimbabwe pia hutumia dola ya Marekani kama sarafu yao rasmi.
Dola ya Marekani inapatikana kwa noti za dola 1, 2, 5, 10, 20, 50 na 100. Kuna pia sarafu ya dola 1.
Dola moja ina senti 100. Senti huitwa pia "penny" nchini Marekani. Kuna sarafu za nusu dolar, robo dolar na sarafu za senti 10, 5 na 1.
Hadi mwaka 1969 noti ya dolar ya Marekani ilikuwa na ahadi ya kwamba serikali ya Marekani itampatia kila mtu dhahabu kulingana na thamani ya dola hizi akipenda kuzibadilisha.
Usawa huu na thamani ya dhahabu ulifutwa. Leo hii dola ya Marekani ni pesa ya kuiamini serikali kama pesa zote. Maana yake watumiaji husadiki ya kwamba serikali haitachapisha dola kushinda uwezo wa uchumi na thamani ya bidhaa zilizopo nchini Tanzania.
Tangu mwisho wa Vita Kuu ya Pili ya Dunia dola ya Marekani imekuwa pesa kuu duniani na sehemu kubwa ya biashara ya kimataifa hukadiriwa kwa dola hizo. Wikipedia